TATHMINI YA UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI ULIOFANYIKA NOVEMBA 26, 2017

TATHMINI YA UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI ULIOFANYIKA NOVEMBA 26, 2017

Posted 7 years ago

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimefuatilia kwa karibu uchaguzi mdogo wa marudio wa kuchagua madiwani katika kata 43 zilizopo halmashauri takribani 36 kwenye mikoa 19 nchini Tanzania uliofanyika tarehe 26 Novemba 2017, kupitia waangalizi wetu wa haki za binadamu (Human Rights Monitors) na kupata taarifa kwa njia mbalimbali za vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Na kutoa tathmini ya ukiukwaji wa haki za binadamu kama ilivyojitokeza katika uchaguzi huo: Soma hapa