Tamko Kulaani Ukiukwaji wa Haki za Binadamu unaofanywa na Jeshi la Polisi

Tamko Kulaani Ukiukwaji wa Haki za Binadamu unaofanywa na Jeshi la Polisi

Posted 4 years ago by admin

Kituo cha Sheria na Haki za binadamu kimesikitishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kuendeleza uvunjifu wa haki za binadamu na matukio ya kikatili dhidi ya wananchi kinyume na taratibu, sheria na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni hivi karibuni Kituo cha Sheria na haki za Binadamu tumeungana marafiki wa haki za binadamu nchini Tanzania kukemea uvunjifu wa haki za binadamu unaofanywa na vyombo vya dola hususani vitendo vya kutweza utu na ukatili dhidi ya watanzania.

Soma zaidi hapa