Tamko Kukemea Ukandamizwaji wa Uhuru wa Maoni na Uhuru na Kujieleza

Tamko Kukemea Ukandamizwaji wa Uhuru wa Maoni na Uhuru na Kujieleza

Posted 6 years ago

Kufuatia adhabu iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa vituo vitano vya televisheni nchini ikiwemo Azam TV, ITV, Star TV, Channel 10 na EATV, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimetoa tamko Januari 3, 2018 kupinga ukandamizwaji wa uhuru wa maoni na uhuru wa kujieleza unaoendelezwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kufahamu kwa undani yaliyomo ndani ya tamko hilo, Soma hapa