TAMKO DHIDI YA UKIUKWAJI WA UTAWALA WA SHERIA

TAMKO DHIDI YA UKIUKWAJI WA UTAWALA WA SHERIA

Posted 5 years ago by admin

Katika kuhakikisha kuwa haki za binadamu na utawala wa sheria vinaheshimiwa na kulindwa nchini Tanzania, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kinalaani na kukekemea vikali hatua ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kusitisha shughuli za Mabaraza ya Kata yanayoshughulikia migogoro ya ardhi mkoani Dar es Salaam pamoja na kutoa kauli zinazokiuka uhuru wa mahakama katika utoaji haki.

Soma hapa tamko, Tamko Dhidi ya Ukiukwaji wa Utawala wa Sheria