Hotuba ya Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya LHRC
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kilifanya maadhimisho ya miaka 25 mnamo Septemba 25, 2020. Katika maadhimisho hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya LHRC alitoa hotuba inayogusia masuala mbalimbali ya Sheria, Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Soma hapa hotuba hiyo.