BARUA YA WAZI KWA RAIS MAGUFULI KUHUSU MABORESHO YA MFUMO WA HAKI JINAI

BARUA YA WAZI KWA RAIS MAGUFULI KUHUSU MABORESHO YA MFUMO WA HAKI JINAI

Posted 2 years ago by admin

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetuma barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Joseph Pombe Magufuli kuhusu Maboresho ya Mfumo wa Haki Jinai ili kulinda na kudumisha haki za binadamu hasa haki za watuhumiwa. Soma hapa barua hiyo; Barua ya Wazi kwa Rais Magufuli