Uchambuzi wa Hotuba ya Rais Magufuli baada ya kufanya Mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri

Uchambuzi wa Hotuba ya Rais Magufuli baada ya kufanya Mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri

Posted tokea miaka 6

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimefuatilia kwa umakini hotuba ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa Jumatatu Julai 2, 2018 wakati akiwaapisha viongozi mbalimbali walioteuliwa kuchukua nyadhifa mbalimbali Serikalini. Kupitia hotuba hiyo Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimebaini masuala chanya ambayo Kituo kimekuwa kikiyafanyia utetezi, lakini pia baadhi ya mambo hasi ambayo si shamirishi kwa haki za binadamu na utawala bora. Soma hapa