Kituo cha Sheri na Haki za Binadamu katika muendelezo wa kupokea na kufuatilia taarifa mbalimbali za matukio ya ukiukwaji wa Haki
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ni ofisi ambayo imeundwa kikatiba kupitia Ibara ya 143 na 144 ya Katiba ya Jamhuri y
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesikitishwa na tukio la mauaji ya Bw. Peter Chambalo linalodhaniwa kufanywa na Mkur
April 29, 2019 The Hague, Netherlands LHRC’s Legal Aid Clinic has been selected by the World Justice Project (WJP) amo
Utangulizi Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kinapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu mabadiliko ya Sheria ya Makosa ya Jin
Unleash your inner purpose to help the helpless, marginalized and oppressed. Your contribution will help our course in provision of legal aid and promotion of human rights.
Help us curb human rights violations such as the murderous attack against people with albinism and elders.
Your donation will help us empower the general public with civic education on cross cutting issues counting gender issues and democracy to realize the changes we aspire.
Help us safeguard human rights all together.
Huenda huna muda wa kutosha wala kipato cha kutosha kulinda utu na haki za wengine, ingawa unawiwa kufanya hivyo.
Ni jukumu letu sote kujitoa kwa kidogo tulichojaaliwa ili kupaka rangi ya furaha katika nyuso za wengine, wewe, yule na sisi tukikusanya nguvu tunaweza kutetea na kulinda haki za wanaoonewa kwa kushindwa kuzifikia huduma za haki.
Jitolee sasa kidogo ulichonacho kusaidia ulinzi na utetezi wa haki na utu wa binadamu.