In response to the framework agreement between the Government of the United Republic of Tanzania and Barrick Gold Corporation conc
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU JUU YA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimefuatilia kwa karibu uchaguzi mdogo wa marudio wa kuchagua madiwani katika kata 43 zilizop
Katika kuhakikisha kuwa haki za binadamu na utawala wa sheria vinaheshimiwa na kulindwa nchini Tanzania, Kituo cha Sheria na Haki
Legal and Human Rights Centre continues to monitor the government of the United Republic of Tanzania to ensure it adheres to princ
Unleash your inner purpose to help the helpless, marginalized and oppressed. Your contribution will help our course in provision of legal aid and promotion of human rights.
Help us curb human rights violations such as the murderous attack against people with albinism and elders.
Your donation will help us empower the general public with civic education on cross cutting issues counting gender issues and democracy to realize the changes we aspire.
Help us safeguard human rights all together.
Huenda huna muda wa kutosha wala kipato cha kutosha kulinda utu na haki za wengine, ingawa unawiwa kufanya hivyo.
Ni jukumu letu sote kujitoa kwa kidogo tulichojaaliwa ili kupaka rangi ya furaha katika nyuso za wengine, wewe, yule na sisi tukikusanya nguvu tunaweza kutetea na kulinda haki za wanaoonewa kwa kushindwa kuzifikia huduma za haki.
Jitolee sasa kidogo ulichonacho kusaidia ulinzi na utetezi wa haki na utu wa binadamu.