Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimefuatilia kwa umakini hotuba ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Po
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeendelea na ufuatiliaji wa haki za binadamu kwa lengo la kuhakikisha misingi ya hak
Legal and Human Rights Centre (LHRC) prepares a mid-year human rights report each year, which highlights the situation of human ri
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu ni shirika binafsi, huru la hiari, lisilo la kiserikali, lisilofungamana na mrengo wowote wa
Read the LHRC's submission during the opening session of the 63RD ordinary session of the African Commission on Human and Peop
Unleash your inner purpose to help the helpless, marginalized and oppressed. Your contribution will help our course in provision of legal aid and promotion of human rights.
Help us curb human rights violations such as the murderous attack against people with albinism and elders.
Your donation will help us empower the general public with civic education on cross cutting issues counting gender issues and democracy to realize the changes we aspire.
Help us safeguard human rights all together.
Huenda huna muda wa kutosha wala kipato cha kutosha kulinda utu na haki za wengine, ingawa unawiwa kufanya hivyo.
Ni jukumu letu sote kujitoa kwa kidogo tulichojaaliwa ili kupaka rangi ya furaha katika nyuso za wengine, wewe, yule na sisi tukikusanya nguvu tunaweza kutetea na kulinda haki za wanaoonewa kwa kushindwa kuzifikia huduma za haki.
Jitolee sasa kidogo ulichonacho kusaidia ulinzi na utetezi wa haki na utu wa binadamu.