Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimefuatilia kwa karibu uchaguzi mdogo wa marudio wa kuchagua madiwani katika kata 43 zilizop
Kufuatia adhabu iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa vituo vitano vya televisheni nchini ikiwemo Azam TV, ITV
Legal and Human Rights Centre has on February 14, 2018 convened a one day session to bring together media and human rights stakeho
Wadau wa vyombo vya habari na wanaharakati wa haki za binadamu wamekutana Februari 14, 2018 katika ofisi za Makao Makuu ya Kituo c
Legal and Human Rights Centre joins the Tanzanian community and human rights defenders all over the world to sturdily condemn the
Unleash your inner purpose to help the helpless, marginalized and oppressed. Your contribution will help our course in provision of legal aid and promotion of human rights.
Help us curb human rights violations such as the murderous attack against people with albinism and elders.
Your donation will help us empower the general public with civic education on cross cutting issues counting gender issues and democracy to realize the changes we aspire.
Help us safeguard human rights all together.
Huenda huna muda wa kutosha wala kipato cha kutosha kulinda utu na haki za wengine, ingawa unawiwa kufanya hivyo.
Ni jukumu letu sote kujitoa kwa kidogo tulichojaaliwa ili kupaka rangi ya furaha katika nyuso za wengine, wewe, yule na sisi tukikusanya nguvu tunaweza kutetea na kulinda haki za wanaoonewa kwa kushindwa kuzifikia huduma za haki.
Jitolee sasa kidogo ulichonacho kusaidia ulinzi na utetezi wa haki na utu wa binadamu.