Friday, July 12, 2019 Dar es Salaam Legal and Human Rights Centre (LHRC) and the Finish Embassy in Tanzania have signed a gr
Jumatatu Julai 15, 2019 Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Biunadamu (LHRC) kimetoa tamko Julai 15, 2019 jijini Dar e
48 days behind bars, pending investigation of the economic crime case No. 137, 2019 against Tito Magoti and Theodory Giyani;
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshiriki kwa ukaribu maadhimisho ya Wiki ya Sheria mwaka 2020 yaliyoratibiwa na Mah
Unleash your inner purpose to help the helpless, marginalized and oppressed. Your contribution will help our course in provision of legal aid and promotion of human rights.
Help us curb human rights violations such as the murderous attack against people with albinism and elders.
Your donation will help us empower the general public with civic education on cross cutting issues counting gender issues and democracy to realize the changes we aspire.
Help us safeguard human rights all together.
Huenda huna muda wa kutosha wala kipato cha kutosha kulinda utu na haki za wengine, ingawa unawiwa kufanya hivyo.
Ni jukumu letu sote kujitoa kwa kidogo tulichojaaliwa ili kupaka rangi ya furaha katika nyuso za wengine, wewe, yule na sisi tukikusanya nguvu tunaweza kutetea na kulinda haki za wanaoonewa kwa kushindwa kuzifikia huduma za haki.
Jitolee sasa kidogo ulichonacho kusaidia ulinzi na utetezi wa haki na utu wa binadamu.