LHRC HQ: Justice Lugakingira House
+255 22 2773038 / +255 22 2773048

Ufikiwaji na Upatikanaji wa Haki kwa Watu wenye Ulemavu

  • Ufikiwaji na Upatikanaji wa Haki kwa Watu wenye Ulemavu

UFIKIWAJI NA UPATIKANAJI WA HAKI KWA WATU WENYE ULEMAVU


Organization Report

Report attachment

Download

Sheria ya watu wenye ulemavu namba 10 ya mwaka 2009 inatoa haki ya watu wenye ulemavu kufikia na kupata huduma zote za jamii na kupata msaada stahiki kama vile wasomaji, wakalimani, lugha za alama na wasindikizaji. Soma kipeperushi hiki kuhusu Ufikiwaji na Upatikanaji wa Haki kwa Watu wenye Ulemavu kufahamu mengi zaidi.