LHRC HQ: Justice Lugakingira House
+255 22 2773038 / +255 22 2773048

Kijarida kuhusu Muundo wa Mahakama

  • Kijarida kuhusu Muundo wa Mahakama

KIJARIDA KUHUSU MUUNDO WA MAHAKAMA


Organization Report

Report attachment

Download

Katika kijarida hiki tumefafanua muundo wa Mahakama nchini Tanzania ili kumsaidia mtu yeyote aweze kutambua mamlaka mbalimbali za mahakama au baraza ambalo anaweza kwenda ili kupata utatuzi au nafuu juu ya suala linalomkabili.

#SimamiaHaki