LHRC HQ: Justice Lugakingira House
+255 22 2773038 / +255 22 2773048

CHATI YA MALALAMIKO KWA WAHANGA WA UKATILI WA KINGONO

  • CHATI YA MALALAMIKO KWA WAHANGA WA UKATILI WA KINGONO

CHATI YA MALALAMIKO KWA WAHANGA WA UKATILI WA KINGONO


Organization Report

Report attachment

Download

Wanawake na wasichana wengi wanaofanyiwa ukatili wa kijinsia hawafahamu mifumo ya utoaji haki na namna ya kupata msaada pale wanapokumbana na vitendo vya ukatili, mara nyingi hutatua changamoto zao katika familia zao ambapo huishia kusuluhisha masuala hayo kifamilia. Taarifa ya utafiti wa Afya Tanzania 2015 - 2016 inasema kuwa aslimia 9% ya wanawake kati ya asilimia 54% hupata msaada polisi au katika vyombo vya dola na asilimia iliyobaki husuluhisha kifamilia.

Hali hi inawaathiri sana wanawake wahanga wa ukatili na kuwaweka katika hatari ya kufanyiwa ukatili tena. Chati hii ya malalamiko imeandaliwa mahususi kuwasaidia wanawake wahanga wa ukatili kufahamu mifumo ya kudai haki na njia za kufuata kuipata haki hiyo.