LHRC HQ: Justice Lugakingira House
+255 22 2773038 / +255 22 2773048

Changamoto za Elimu kwa Watoto wenye Ulemavu

  • Changamoto za Elimu kwa Watoto wenye Ulemavu

CHANGAMOTO ZA ELIMU KWA WATOTO WENYE ULEMAVU


Organization Report

Report attachment

Download

Watoto wenye ulemavu wanakabiliwa na changamoto mbalimbali katika kufurahia haki yao ya elimu. Kipeperushi hiki 'Changamoto za Elimu kwa Watoto wenye Ulemavu' kinaelezea kwa kifupi changamoto hizo na kutoa mapendekezo.