Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimefuatilia kwa umakini hotuba ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Po
Soma hapa Ufafanuzi wa Kisheria kuhusu Mjadala wa Bunge la Bajeti 2018/2019
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu ni shirika binafsi la kujitolea na la hiari lisilo la kisiasa wala kibiashara lilosajiliwa kw
Katika kudumisha haki za binadamu na utawala wa sheria nchini Tanzania, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimeendelea kufanya u
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepokea barua Kumb. Na. BA.71/75/01/124 ya tarehe 22 February 2018 kutoka kwa Mkurug
Katika kufikia maono ya kupata jamii yenye haki na usawa, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimeendelea kufanya ufuatiliaji wa
Katika kuhakikisha kuwa haki za binadamu na utawala wa sheria vinaheshimiwa na kulindwa nchini Tanzania, Kituo cha Sheria na Haki
Tarehe 6 Februari kila mwaka ni siku ya kimataifa ya kupinga Ukeketaji duniani kote. Historia ya siku hii ilianza mwaka 2003 ambap
Kufuatia adhabu iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa vituo vitano vya televisheni nchini ikiwemo Azam TV, ITV
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU JUU YA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Unleash your inner purpose to help the helpless, marginalized and oppressed. Your contribution will help our course in provision of legal aid and promotion of human rights.
Help us curb human rights violations such as the murderous attack against people with albinism and elders.
Your donation will help us empower the general public with civic education on cross cutting issues counting gender issues and democracy to realize the changes we aspire.
Help us safeguard human rights all together.
Huenda huna muda wa kutosha wala kipato cha kutosha kulinda utu na haki za wengine, ingawa unawiwa kufanya hivyo.
Ni jukumu letu sote kujitoa kwa kidogo tulichojaaliwa ili kupaka rangi ya furaha katika nyuso za wengine, wewe, yule na sisi tukikusanya nguvu tunaweza kutetea na kulinda haki za wanaoonewa kwa kushindwa kuzifikia huduma za haki.
Jitolee sasa kidogo ulichonacho kusaidia ulinzi na utetezi wa haki na utu wa binadamu.