Legal and Human Rights Centre has launched the Tanzania Human Rights Report-2020. It is LHRC’s 19th report, and highlights t
In a bid to prepare for the UPR Stakeholders' Report for the 3rd Cycle as a collective move, Legal and Human Rights Centre (LH
UKEKETAJI WAENDELEA KUWA TISHIO LA MAISHA YA MTOTO WA KIKE TANZANIA Imeandaliwa na Kituo cha sheria na Haki za Binada
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kinampongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. Hudson Kamoga kwa kuchukua
Siku ya Wanawake wa Vijijini ilianzishwa mwaka 2008 kwa lengo maalum la kutambua mchango wa wanawake wa vijijini katika maendeleo
On June 16th every year, Africans commemorate the African Child Day. The day aims at raising awareness on the situation of childre
On June 12th every year the world commemorates the World Day Against Child Labour. The commemoration aims at bringing into attenti
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) tunapenda kuwataarifu, wanachama wetu, mashirika rafiki, serikali, wadau wa maendeleo,
We would like to inform our beneficiaries, members, partner organizations, the media, government institutions, development partner
Submission of complaint before the UN Working Group on Arbitrary Detention on behalf of Tito Elia Magoti. Read the full submission
Unleash your inner purpose to help the helpless, marginalized and oppressed. Your contribution will help our course in provision of legal aid and promotion of human rights.
Help us curb human rights violations such as the murderous attack against people with albinism and elders.
Your donation will help us empower the general public with civic education on cross cutting issues counting gender issues and democracy to realize the changes we aspire.
Help us safeguard human rights all together.
Huenda huna muda wa kutosha wala kipato cha kutosha kulinda utu na haki za wengine, ingawa unawiwa kufanya hivyo.
Ni jukumu letu sote kujitoa kwa kidogo tulichojaaliwa ili kupaka rangi ya furaha katika nyuso za wengine, wewe, yule na sisi tukikusanya nguvu tunaweza kutetea na kulinda haki za wanaoonewa kwa kushindwa kuzifikia huduma za haki.
Jitolee sasa kidogo ulichonacho kusaidia ulinzi na utetezi wa haki na utu wa binadamu.