LHRC HQ: Justice Lugakingira House
+255 22 2773038 / +255 22 2773048

TAARIFA YA UANGALIZI WA UCHAGUZI MDOGO WA MARUDIO JIMBO LA KINONDONI NA SIHA

 • TAARIFA YA UANGALIZI WA UCHAGUZI MDOGO WA MARUDIO JIMBO LA KINONDONI NA SIHA
TAARIFA YA UANGALIZI WA UCHAGUZI MDOGO WA MARUDIO JIMBO LA KINONDONI NA SIHA

TAARIFA YA UANGALIZI WA UCHAGUZI MDOGO WA MARUDIO JIMBO LA KINONDONI NA SIHA

Katika kufikia maono ya kupata jamii yenye haki na usawa, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimeendelea kufanya ufuatiliaji wa utendaji kazi wa serikali katika kipindi cha uchaguzi mdogo katika majimbo ya Siha na Kinondoni. Mnamo Februari 9, 2018 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kilipata kibali rasmi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa mwangalizi wa uchaguzi katika jimbo la Kinondoni pamoja na Siha.

Katika kutimiza jukumu hilo la kidemokrasia, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimefanya uangalizi tangu zilipoanza kampeni mnamo tarehe 25/01/2018 na wakati wa uchaguzi ambapo katika chaguzi hizo ndogo Chama cha Mapinduzi kilishinda. Hata hivyo Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu kimebaini masuala kadhaa ya ukiukwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa sheria na taratibu zinazoratibu chaguzi kama yalivyofafanuliwa:-

Soma hapa

2 COMMENTS FOUND

 • Says:
  March 3st ,2018 3:33 PM

  HELLO TO YOU ALL, YOUR REPORT ON "TAARIFA YA UANGALIZI WA UCHAGUZI MDOGO WA MARUDIO JIMBO LA KINONDONI NA SIHA" SOME OF THE PAGES ARE MISSING ESPECCCIALLY PAGE NUMBER 4 AND NUMBER 2, KINDLY IF IT WAS NOT INTENDED TO BE SO, IT THE SHOULD BE CALLED FOR RECTIFICATION TO INCLUDE THE MISSED PAGES. THANKS

 • Says:
  March 3nd ,2018 2:07 PM

  Yan sasa ni wakati wakuwekea mikazi mambo yanayo tokea katika chaguzi hapa nchini, kweli waacheni wananchi wamchague wanaempenda sio kuwashinikiza kwanguvu kufanya vitu ambavyo Hawa vitaki, nyie kama haki za binadamu sasa ni wakati wakusaidia watu kupata haki zao za kidemocrasia

LEAVE A REPLY

Your email address will not be published.